Timu ya vijana ya Simba U20 imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya vijana wa Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya.
Magoli ya Simba yamefungwa na Godfrey George, Michael Joseph na Hassan Mohamed wakati goli pekee la Mbeya City likifungwa kwa penati na Daniel Lukandamila.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights