Highlights | Simba SC 1-1 Azam FC (Pen 4-1) | U20 Premier League 19/06/2021 (Mshindi wa Tatu)
MSHINDI WA TATU LIGI YA VIJANA: Hivi ndivyo timu ya vijana ya Simba U20 ilivyoibuka na ushindi wa tatu katika ligi kuu ya vijana U20 ambayo fainali zake zimepigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huu, Simba walipata ushindi wa penati 4-1 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1. Tufuatilie […]
Continue Reading