MSHINDI WA TATU LIGI YA VIJANA: Hivi ndivyo timu ya vijana ya Simba U20 ilivyoibuka na ushindi wa tatu katika ligi kuu ya vijana U20 ambayo fainali zake zimepigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Katika mchezo huu, Simba walipata ushindi wa penati 4-1 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights