Magoli, penati na kadi nyekundu | Yanga 3-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League 02/11/2021
YANGA VS RUVU SHOOTING: Yanga SC imeendeleza undava kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa kuitandika Ruvu Shooting mabao 3-1 , mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Magoli ya Yanga yamefungwa na Feisal Salum, Djuma Shaaban na Mukoko Tomombe wakati Ruvu wakitangulia kwa goli la Shaaban Msala. Katika mchezo huu, Ruvu walipata pigo […]
Continue Reading