Magoli | Mashujaa 3-1 Mbeya City | Play Off | Premier League/Championship – 19/06/2023

Magoli | Mashujaa 3-1 Mbeya City | Play Off | Premier League/Championship – 19/06/2023

Soccer

Timu ya Mashujaa FC ya Kigoma kutoka ligi ya Championship imeitandika Mbeya City kutoka Ligi Kuu ya NBC mabao 3-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa mtoano #PlayOff uliopigwa leo, kwenye Dimba la Lake Tanganyika, mkoani Kigoma.

Magoli ya Mashujaayamtoka kwa Abiud Mtambuka dakika 24, Asanga Stalon dakika ya 69 na Shadrack Ntabindi dakika ya 78 kwa mkwaju wa penati wakati goli la kufutia machozi kwa Mbeya City likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Aziz Sibo dakika ya 63.

Magoli haya hapa….

This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.

#Sports #Video #Highlights