Polisi Tanzania 1-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League 16/08/2022

Polisi Tanzania 1-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League 16/08/2022

Soccer

Mabingwa watetezi, Yanga SC wameuanza msimu huu na ushindi wakiwachapa Polisi Tanzania 2-1 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, ukiwa ndiyo mchezo wao wa kwanza kwenye #NBCPremierLeague msimu huu.

Polisi wametangulia kwa goli la Salim Ally Kipemba dakika ya 34, lakini Yanga wakarejea na kusawazisha dakika ya 42 kupitia kwa Fiston Mayele kabla ya Bakari Mwamnyeto kumaliza kazi kwa kufunga bao la pili dakika ya 85.

Katika mchezo huu pia Fiston Mayele amekosa penati dakika ya 11.

This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.

#Sports #Video #Highlights