Mbeya City 3-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

Mbeya City 3-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

Soccer

Yanga SC imechomoa mabao yote matatu baada ya kutanguliwa 3-0 na Mbeya City kwenye Dimba la Sokoine, Mbeya, mechi ikimalizika kwa sare ya 3-3.

Magoli ya Mbeya City yamefungwa na George Sangija na Richardson Ng’ondya aliyefunga mawili wakati Yanga ikijibu kupitia kwa Bernard Morrison aliyefunga mawili, moja likiwa penati pamoja na Salum Abubakar Sureboy aliyefunga goli la pili.

Haya yote sita….., Bernard Morrison akigeuka kuwa ‘mkombozi’.

This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.

#Sports #Video #Highlights