Mbeya City 3-1 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 20/11/2021

Mbeya City 3-1 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 20/11/2021

Soccer

MBEYA CITY VS MTIBWA SUGAR: Tazama highlights jinsi Mbeya City ilivyoitandika Mtibwa Sugar mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliochezwa Novemba 20, 2021 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Magoli ya Mbeya City yamefungwa na Juma Luizio, Juma Shemvumi na Ibrahim Seleman wakati Mtibwa wakipata bao lao pekee kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Salum Kihimbwa.

This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.

#Sports #Video #Highlights