Yanga wamepata sare ya bao 1-1 na Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya.
Yanga wametangulia kwa goli la kujifunga kupitia kwa Hamad Wazir kabla ya Mbeya City kusawazisha kwa penati iliyopigwa na Joseph Ssemujju baada ya nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto kuunawa mpira ndani ya eneo la hatari.
KADI NYEKUNDU: Katika mchezo huo pia beki wa Mbeya City, Mpoki Mwakinyuke amelambwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kuonesha mchezo usio wa kiungwana na beki wa Yanga, Shaban Djuma dakika 41.
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights