Singida Big Stars wameendelea kung’ara nyumbani kwa kuifunga Mbeya City mabao 2-1 katika mchezo wao wa pili wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara msimu huu, kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida.
Mbeya City wametangulia kupata bao kup[itia kwa Sixtus Sabilo lakini Singida wakarejea kwa magoli mawili ya Dario Federico kwa penati na Bruno Gomes .
Haya hapa magoli yote….
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights