Namungo Fc na Mtibwa Sugar wametoshana nguvu kwa sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa pili wa ligi kuu ya NBC msimu huu uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Reliants Lusajo amefunga magoli yote mawili ya Namungo dakika ya 32 na 82 wakati Vedastus Mwihambi na Nickson Kibabage wakifunga upande wa Mtibwa Sugar, huku Ibrahim Mukoko wa namungo akikosa mkwaju wa penati dakika ya 67.
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights