Ligi Kuu ya Vijana: Haya ndiyo yaliyojiri kwenye mchezo huo wakati goli kutoka kwa Benjamin Mwakifuna likiwapa ushindi wa bao 1-0 Tanzania Prisons U20 dhidi ya Coastal Union U20 ukiwa ni mchezo wa pili kabisa wa ligi kuu ya vijana u20 iliyoanza leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights