Highlights | Tanzania 0-1 Uganda | CHAN 2023 Qualifier  28/08/2022

Highlights | Tanzania 0-1 Uganda | CHAN 2023 Qualifier 28/08/2022

Soccer

Timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars imepoteza mchezao wake wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu fainali za #CHAN2023 , ikikubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Uganda #TheCranes mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Goli pekee la Uganda limefungwa na Travis Mutyaba dakika ya 87 huku Tanzania wakipata nafasi dakika ya 90 ambayo hata hivyo ilikuwa ni offside.

This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.

#Sports #Video #Highlights