Mabingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, wamehitimisha msimu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, matokeo yanayowafanya wamalize msimu bila kupoteza mchezo wowote.
Goli la kwanza kwenye mchezo huu uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, limefungwa na Denis Nkane, likiwa ni goli lake la kwanza kabisa kwenye ligi tangu ajiunga na Yanga.
Katika mchezo huu pia, Fiston Mayele alitikisa nyavu dakika za majeruhi, lakini ilikuwa ni ‘off-side’.
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights