Coastal Union 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League 20/08/2022

Coastal Union 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League 20/08/2022

Soccer

Yanga imeendelea kukusanya alama baada ya leo kuitandika Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo wake wa pili wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara msimu huu wa 2022/23 uliopigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Magoli ya Yanga yametoka kwa Bernard Morrison dakika ya 4 na Fiston Mayele dakika ya 68.

Tazama highlights

This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.

#Sports #Video #Highlights