Azam 1-0 Ihefu | Highlights | NBC Premier League 31/10/2022

Azam 1-0 Ihefu | Highlights | NBC Premier League 31/10/2022

Soccer

Goli pekee la Prince Dube dakika ya 55 limeipa Azam FC ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Katika mchezo huo, Ihefu wamepata pigo baada ya beki wao Juma Nyoso kutolewa kwa kadi nyekundu, kwa kumchezea rafu Kipre Junior.

This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.

#Sports #Video #Highlights