Namungo 2-2 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 15/08/2022
Namungo Fc na Mtibwa Sugar wametoshana nguvu kwa sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa pili wa ligi kuu ya NBC msimu huu uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Reliants Lusajo amefunga magoli yote mawili ya Namungo dakika ya 32 na 82 wakati Vedastus Mwihambi na Nickson Kibabage wakifunga upande wa Mtibwa […]
Continue Reading