Highlights | Malindi SC 2-1 Mlandege FC | Zanzibar Premier League 19/11/2021

Highlights | Malindi SC 2-1 Mlandege FC | Zanzibar Premier League 19/11/2021

MJINI DERBY: Tazama jinsi Malindi SC ilivyoitandika Mlandege mabao 2-1 katika Derby ya Mjini #MjiniDerby iliyopigwa Novemba 19, 2021 kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar ikiwa ni muendelezo wa ligi kuu ya Zanzibar #ZanzibarPremierLeague Magoli yote mawili ya Malindi yalifungwa na Khamis Makame huku goli la Mlandege likifungwa na Abdulnasri Asad. This article was gathered automatically […]

Continue Reading