Highlights | Kariobangi Sharks 3-2 Tusker FC | FKF PL 14/09/2024
#FKFPL Hii ndiyo ‘come-back’ sasa…!!! Ni magoli yote matano yakiwemo mawili kutoka kwa Ally Salum Omar a.k.a Mali ya Mungu… alipoiongoza Kariobangi Sharks kutoka nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Tusker FC. Tusker walitangulia kipindi cha kwanza kupitia kwa Ryan Ogam 07′ na Charles Momanyi 28′, lakini Kariobangi wakaanza kwa chuma ya Keith Imbali 67′ […]
Continue Reading