Mbeya Kwanza 0-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 17/10/2021

Mbeya Kwanza 0-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 17/10/2021

Hii ilikuwa ni mechi ya kiume iliyotawaliwa na ubabe wa kila aina uliosababisha kadi nyekundu moja. Ilikuwa ni Mbeya Kwanza dhidi ya Dodoma iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Oktoba 17 mwaka huu ikishuhudiwa Mbeya Kwanza wakimaliza pungufu baada ya Joseph Majagi kutolewa kwa kadi nyekundu. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM: […]

Continue Reading