Goli la kujifunga sekunde ya mwisho kabisa kupitia kwa George Wawa limeifanya mechi kati ya Geita Gold kumalizika kwa sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Nyankumbu, Geita.
Magoli ya Geita yametoka kwa Saidi Ntibazonkiza kwa mkwaju wa penati dakika ya 34 na Juma Liuzio dakika ya 45+4 kwa assist ya Saidi Ntibazonkiza.
Mtibwa walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Onesmo Mayaya dakika ya 10……
KADI NYEKUNDU:
Saidi Ntibazonkiza alitolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana dakika ya 55.
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights