Matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo wa mzunguko wa nne wa Ligi Kuu ya NBC wakati KMC wakifanikiwa kuondoka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu.
Ni ushindi wa kwanza wa KMC kwenye mechi nne walizocheza wakati Ihefu wakiwa hawajapata ushindi wala sare kwenye hizo mechi nne walizocheza.
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights